MATUKIO KATIKA PICHA YA DARAJA TAKATIFU YA UPADRE MPAPA – MBINGA LEO TAREHE 09/07/2026
Matukio mbalimbali wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya kutolewa kwa Daraja Takatifu ya Upadre kwa Mashemasi wawili Joseph Ntara na Cosmas Nyimbi.
Misa Takatifu ya kutolewa Daraja hilo, imeadhimishwa katika viwanja vya Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni Mpapa, Jimbo Katoliki Mbinga na Mhashamu John C. Ndimbo, Askofu wa Jimbo hilo.
MATUKIO KATIKA PICHA YA DARAJA TAKATIFU YA UPADRE MPAPA – MBINGA LEO TAREHE 09/07/2026



